Skip to content

Bugando CUHAS Selected Applicants List 2026/2027 PDF

Share

Bugando CUHAS Selected Applicants List 2026/2027 PDF

admin

admin

Updated
Share

Bugando CUHAS Selected Applicants List 2026/2027.

LIST OF APPLICANTS WITH MULTIPLE SELECTIONS FOR THE 2026/2027 ACADEMIC YEAR

WOTE WALIODAHILI ZAIDI YA CHUO KIMOJA WANATAKIWA KUFUATA MUONGOZO KUTOKA TUME YA VYUO VIKUU KAMA IFUATAVYO:

Subscribe for updates

Get new posts, insights, and occasional updates delivered to your inbox.

We respect your privacy.

“Tume inapenda kuwatangazia wote waliodahiliwa zaidi ya chuo kimoja kuthibisha udahili katika chuo kimoja tu mwombaji anachopendelea kujiunga. Mwombaji anatakiwa kufuata utaratibu ufuatao:

1) Kunakili namba maalumu (special code) iliyotumwa kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye simu yake;

2) Kutumia nywila (password) kuingia katika profile yake ilimfumo wa udahili wa chuo anachokipenda kati ya vile alivyo

3) Kuingiza namba hiyo maalumu katika mfumo wa udahili wkuthibitisha udahili wake katika chuo hicho; na

4) Kuthibitisha udahili wake katika chuo kimoja kabla ya Septemba 2026/2027.

me inapenda kusisitiza kuwa, mwombaji atakayeshindwa kuahili wake katika muda uliopangwa, atapoteza nafasi yake na omba upya katika awamu zitakazofuata. ” KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA TOVUTI YA TUME YA VYUO VIKUU www.tcu.go.tz

MULTIPLE_SELECTIONS.pdf

Posted in: Tanzania

Related Posts

Conversation

0 Comments

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *